Wimbo mpya wa mwanamuziki mwenye
sauti tamu na adimu PNC uitwao 'yule yule' umeanza kukonga mioyo ya
mashabiki wake na kuisifu video ya wimbo huo ambapo mwanadada
anayeibukia kwenye filamu kwa sasa nchini Rachel Njingo 'Recho'
ameutendea haki wimbo huo. Recho ambae kwa sasa anafanya vizuri ktk
filamu ya Clarita iliyoingia sokoni hivi karibuni ndio video queen
kwenye wimbo huo mpya wa PNC ambao tayari umeanza kujizolea mashabiki. Mwandishi wa habari hii Paskal Linda ilizungumza na video queen huyo ambapo hakusita kuanika
vipaji vyake, Recho amedai kuwa yeye pia ni mwanamitindo ambapo pia ni
mwigizaji na ameigiza ktk filamu 4 ikiwemo ya Clarita iliyoingia sokoni.
Filamu nyingine alizocheza ni Kidudumtu,