Kurasa

Alhamisi, 4 Juni 2015

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFUNIKA SIKU YA UZINDUZI WA SAFARI YA MATUMAINI



 

Diamond Platnumz au ukipenda waeza muita Rais wa wasafi alivyofanya katika siku ambayo mbunge wa monduli Edward Lowasa alivyotangaza rasmi kugombea nafasi ya urais au unaweza kuita siku ya  uzinduzi wa safari ya matumaini

 
 ilikuwa ni shida rais wa wasafi akitumbuiza pamoja na timu yake nzima
 
wenyeji wa diamond ambao ni watoto kutoka A-Town wanaojulikana kwa jina la mamongooo nao pia walikuwepo kwenye uzinduzi huo wa safari ya matumaini

 
wasanii mbalimbali wa A-town nao waliuthuria

 
 kulikuwa na bwebwe mbalimbali ambopo pia kulikuwepo na helkopta ikipita juu huku ikionyesha michezo mbalimbali yote hii ni furaha ya uzinduzi safari ya matumaini
 
 
 wadau mbalimbali waliuthuria katika uzinduzi huu wa safari ya matumaini


 
kulikuwa na ngoma mbalimbali pia kutoka katika kabila la kimasai