Kurasa

Ijumaa, 5 Juni 2015

Rachel Njingo: Nyumbani kwanza, kimataifa baadaye.


Nyota wa filamu nchini Tanzania Rachel Njingo a.k.a Rachel  anaamini kwamba msanii ili afanikiwe kimataifa ni lazima aweke misingi nyumbani kwanza.
 
Akizungumza na Mwandishi wa habari hizi kutoka Dodoma, Rachel  alisema wanasanii wengi anaowafahamu ambao wamejaribu kutoka kimataifa pasipo kujijengea misingi mizuri nyumbani, wameshindwa kufanikiwa.
 
Msanii huyo wa filamu 'Crita ' na 'Kidudumtu', alisema wasanii kama Wema Sepetu aliyefanikiwa sana nchini, anaweza kufika mbali sana kimataifa kwa sababu tayari ana sapoti kubwa nyumbani.
 
Alisema kabla ya kuanza harakati za kujitangaza kimataifa, Wema alihakikisha amefanikiwa kuteka soko la nyumbani na ndio maana hata alipoanza kutoka nje kimuziki, amefanikiwa 'kutoboa'.
Rachel Njingo ambaye kwa sasa anatamba na filamu ya  ''Clarita aliomshirikisha wasanii kidao'