Ukiachilia mbali kucheza filamu mbalimbali Rachel Njingo anafanya
vizuri pia katika modelling. Utaweza kumuona katika video ya wimbo wa
PNC - Yule Yule amecheza kama video Queen wa wimbo huo. Lakini kwa sasa
amejikita zaidi katika filamu na ndoto yake kubwa ni kuja kufanya
filamu moja na Jackline Wolper.
Rachel B. Njingo akiwa na Jackline Wolper.