Sexy lady mtafutaji
anayejishughulisha na fani lukuki ikiwemo urembo, filamu na muziki,
Rachel Njingo kwa mara njingine mwishoni mwa mwezi huu anakuja na filamu October 3.Filamu ukiwa imetayarisha na Jay Bonge wa J Bongo movies
imeshirikisha wasanii wa wakali wa filamu Afrika Mashariki na kati
wakiwepo Jengua, Rachel Njingo na wasanii wengine wengi.
Rachel Njingo katika pose
Akigungumza na blog http://batarokota.blogspot.com/ Rachel Njingo
alisema `filamu mpya inakuja nimeshirikishwa na Jay Bongo na inaitwa
October 3 filamu hii inatarajia kuwa hewani mwezi huu Mwisho, hivyo
washabiki wangu wasubirie ujuo wa filamu hii kwa hamu` alisema Rachel
Njingi akiwa Dodoma nchini Tanzania.