Kurasa

Jumatano, 3 Juni 2015

BATAROKOTA KUFANYA ONYESHO MOMBASA

Msanii ambaye anamiliki shirika la SHUIMA Paskal Linda Mgundu a.k.a Batarokota anatarajia kufanya onyesho kwaajili ya utambulisho wa wimbo wao mpya wa We shetan  katika ukumbi wa Pricess Hall  uliopo Mombasa nchini Kenya  jumatano ijayo.


Akizungumza na Blog hii  meneja wa Batarokota  hilo Markus James alisema, Batarokota amealikwa nchini Kenya kwa mwaliko wa udhamini wa Op Limited ya jijini Mombasa hivyo anatarajia kutumia ziara hiyo kuzindua songi lake jipya we shetan,  Onyesho hilo limedhaminiwa na  Stream ii Co. Ltd, G-Unit Music and Commucation na Nyuki Grocery. Baada ya utambulisho na show ya Batokota usiku huo burudani ya muziki itashushwa kutoka kwa Dj Zari, Dj Casto, Dj Peter na Dj Opio huku wasanii waalikwa watakuwa Daz P, Y Bring bring, Mchomoko.Big D wakiwa wasindikizaji alisema